JamiiForums Usiku wa manane

Na kweli jasiri haachi asili, ni hakika una uwezo mkubwa wa kudaka vingi.
Kwa ile milima, miba na migomba ningepata wapi muda wa hata kuwaza soka.
Mimi uhodari wangu ulikuwa kwenda kuwinda tumbili, wana nyama tamu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…