JamiiForums Usiku wa manane

Wewe kweli kiboko kweli wewe mfuatiliaji...alimwambia mdingi wake hivyo wakati kanihisia na kifo cha jofrey
Hahahaaa yaani mm nikiona muvi nikaipenda hua nakariri dialogue yote..
Kama kwenye muvi ya Thor.Ragnarok naweza kuanza kuongea maneno kutoka mwanzo pale yupo na Surtur..kwa Grandmaster na scenes nyingine nilizopenda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…