πππππππ lilipiga miayo mida ya saa 10 kasoro kunabibie ndio nilimuacha na mwana mmoja hv sijui hata walifika mpaka saa ngapi?
Leo inabidi ubaki mpaka mwisho mwananchi.ππππ
Goddess nimeamka nukamkuta anacomment kwenye mafuriko rti keshaamka πππ
hapana, vibarua vitaota nyasi.Leo inabidi ubaki mpaka mwisho mwananchi.
Aah ugali huo lazima uwenao makini kabisa hapo muhimu sana kuwanako makini.hapana, vibarua vitaota nyasi.
Probably Ijumaa
Ronny2010 mzima?
Yeah, hapa nimeshapark kabisa, ukiona kimya ujue tayariππAah ugali huo lazima uwenao makini kabisa hapo muhimu sana kuwanako makini.
Salama kabisa, hofu kwako.Sijambo za kwako B?
Najitahidi....Salama kabisa, hofu kwako.
Nakuona ulikua kwenye thanks giving[emoji846]
ππππYeah, hapa nimeshapark kabisa, ukiona kimya ujue tayariππ
Ronny2010 [emoji120]
Haya, ahsante.Najitahidi....
Sio muongeaji kabisa ww navyokuona?Karibu
Wakuu, usiku mwema.
Nimewaachia lindo pakiwa salama!!
Sio muongeaji kabisa ww navyokuona?
ππππAmina. Lala salama.