Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Uisahau The Irishman, Ad Astra na 6 Underground.....[emoji4][emoji4][emoji4]Detail yangu inaanza ikisindikizwa na Angel has fallen 2019 Banning na Morgan wakiendelea na maamuzi tokea kwenye Olympus has fallen na London has fallen.
Unapita kaikati ya barabara mida hii ukikuta chochote gonga tu.Mida hii silaha yako inatakiwa tayari tayari maana waaribifu wote kiroho na kimwili ndio mida yao ya kujivinjari hii.
na ww kumbe ni mpenda movie?Uisahau The Irishman, Ad Astra na 6 Underground.....[emoji4][emoji4][emoji4]
na ww kumbe ni mpenda movie kumbe?
Haha uzuri wake we ni mzuri sana wa kupiga details zote yaani kuanzia pale usiku wa manane mpaka dawning of the day.Unanisingizia....sinaga kawaida yangu.
Usingizi wako umepeleka wapi?
masihara hayo unaleta πππMleviiii
Mkuu sana ila sio za aina zote. Niko selective sanana ww kumbe ni mpenda movie?
Nawe pia una ulevi wako, niutajee? π ππMleviiii
Zipi upendi love story, horror, animation and drama?Mkuu sana ila sio za aina zote. Niko selective sana
Haha uzuri wake we ni mzuri sana wa kupiga details zote yaani kuanzia pale usiku wa manane mpaka dawning of the day.
Kwa uwepo wako usingizi lazima upae kidogo ili nikusalimie sweetheart.
masihara hayo unaleta [emoji38][emoji38][emoji38]
Horrors ndo sitaki hata kuzisikia. Nashangaa Ronny2010 huwa anapenda sana kuziangalia hizo za mavempire, Draculas n.kZipi upendi love story, horror, animation and drama?
Nawe pia una ulevi wako, niutajee? [emoji23] [emoji23][emoji23]
lakini sio addiction mbaya hiyo watu wanaopenda movie niwastaarabu sana.Ni kweli....niko na ulevi wa movies na series.
Najaribu kuacha lakini.
πππ we nimuoga kumbe.Horrors ndo sitaki hata kuzisikia. Nashangaa Ronny2010 huwa anapenda sana kuziangalia hizo za mavempire, Draculas n.k
Love stories, actions Ila itategemea na story, animations kama Ice Age, the speed ndizo pendwa kwangu.
We Unapenda za aina gani mkuu?
Horrors ndo sitaki hata kuzisikia. Nashangaa Ronny2010 huwa anapenda sana kuziangalia hizo za mavempire, Draculas n.k
Love stories, actions Ila itategemea na story, animations kama Ice Age, the speed ndizo pendwa kwangu.
We Unapenda za aina gani mkuu?
my nafagia zote hadi za kihindi lakini usilete bongo movie tu Animation ulishaicheki frozen 2?Horrors ndo sitaki hata kuzisikia. Nashangaa Ronny2010 huwa anapenda sana kuziangalia hizo za mavempire, Draculas n.k
Love stories, actions Ila itategemea na story, animations kama Ice Age, the speed ndizo pendwa kwangu.
We Unapenda za aina gani mkuu?
lakini sio addiction mbaya hiyo watu wanaopenda movie niwastaarabu sana.
Animations upendi?Crime, action, Romance, science fiction, drama, Documentary, mystery bila kusahau Comedy....
fyddell umeniangusha
my nafagia zote hadi za kihindi lakini usilete bongo movie tu Animation ulishaicheki frozen 2?