Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Kiasi gani na nikutumie kwa njia gani?
Nadhani nikikukabidhi mkononi itafaa zaidi[emoji1][emoji1]
Aisee pole sana.
Jitahidi kupiga pasi nguo za week
ndio umeamka au bado uko ndotoni mzee πππ
Haha baada ya malipo I would prefer to meet you in a briefing room wawili tu.Nije nichukue eehh? Naahh
Bank Transfer itatosha[emoji2][emoji2][emoji2]
Thanks gal.Asante sana. Ubarikiwe.
Uwe na siku njema
Haha baada ya malipo I would prefer to meet you in a briefing room wawili tu.
Haiwezekani, nikijipanga kufanya hivyo nafanya mara moja naacha
Thanks gal.
Worry out mkuu, she is safe with me
Pesa upokee wewe kazi afanye mwingine..hapana kwakweli. Uzuri wa kazi ifanywe na mtangaza dau mwenyewe ππNitamtuma msaidizi (double body) wangu
Hahaha mpaka nimejikuta nimepiga ukunga na utulivu huu lolππKama nakuona unavyochekelea....
Pesa upokee wewe kazi afanye mwingine..hapana kwakweli. Uzuri wa kazi ifanywe na mtangaza dau mwenyewe [emoji1][emoji1]
Hahaha mpaka nimejikuta nimepiga ukunga na utulivu huu lol[emoji23][emoji23]
Fastaaa nitakuja, muda wako tu sasaSawa, uje ufuate hizo review mwenyewe sasa.