Amini mkuu.. ila usifuate mambo yao wale maana hukawii kujiita sangoma[emoji3][emoji3][emoji3]igweeee....mi siyo soja mkuu ila hiki ni kijiwe changu bora kabisa kabla ya kulala.....God has done much....ndiyo maana ya jina hilo kwa Igbo language mkuu
Ile radi balaa hahahaha ilinifanya nikaamka nikaanza kuzunguka ilikua hatarSalama?
Juzi ukalala lisaa limoja ni woga wa radi au?
Kweli au unataniaNdiyo mkuu aljazeera
Joking tu japo huwa napenda kupita jf usiku wa manane ndo maana wengi humu avatar zenu nimezikaririKinakushtuaje Yaani
Utafurahi sana ukiziskilizaNgoja niburudike nazo
Ukipita skuingine tupitishie na zawadJoking tu japo huwa napenda kupita jf usiku wa manane ndo maana wengi humu avatar zenu nimezikariri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo haliwezi kutokea mkuuAmini mkuu.. ila usifuate mambo yao wale maana hukawii kujiita sangoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli mkuuKweli au unatania
Sijaweza kucheki game, itabidi nicheki highlightsGame nimeona kama imepoteza mvuto kiasi,japo Madrid wangekuwa makini1st half wangepata hata 2 goals,japo barca nawao walipata chance ile pasi messi kwa Alba
Haya sawaNikweli mkuu
Wewe mwoga sanaπππIle radi balaa hahahaha ilinifanya nikaamka nikaanza kuzunguka ilikua hatar
CNN nawao nasikia wapo live kupitia ITV Tanzania,kuna rafiki yangu anaangalia hukoHaya sawa
Nisawa na risasi.....Wewe mwoga sanaπππ
Radi ukiisikia ujue upo salama.
[emoji23][emoji23][emoji23] unapenda ipi mkuuUkipita skuingine tupitishie na zawad
Okay poaSijaweza kucheki game, itabidi nicheki highlights
S.O.S ni hii Indila S.O.S ?Utafurahi sana ukiziskiliza
Aaah uoga muhimuWewe mwoga sanaπππ
Radi ukiisikia ujue upo salama.
Navutiwa sana na aljazeera naweza kesha nawaangalia ila sio cnn au bbcCNN nawao nasikia wapo live kupitia ITV Tanzania,kuna rafiki yangu anaangalia huko
Haaha zawadi hua yoyote hata ukileta jani mm napokea
Abba s.o.s inaitwa hvyoS.O.S ni hii Indila S.O.S ?