Ha ha haaa mzee kijana hakosi mipangoUnajijua unavituko wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Teh teh tehHuyu hapa... ondoka naye
Wala hiko sio kinachomwogopesha... mi najua kinachomwogopesha...Hem acha kumtisha binti akakosa usingizi
[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] tena huyu ndio ana sura ya wanga kabisaaa
Hafu kweli kesho uje na msokoto mmoja tu utatosha kwa woteNa wewe upunguze bangi...
Niko hapa naandaa mzigo...Hafu kweli kesho uje na msokoto mmoja tu utatosha kwa wote
Dogo nakutafutaHahahaha wana boost vichwa
TupoooHumu ndani mpo kweli???
Inna chalii wako iko wapi SAA hii ...umeiacha wapi mbona muda hii nakua mekunganganiaHumu ndani mpo kweli???
Ney nisaidie kuwaita popozTupooo
Haha mida hii nakua mwenyew ndo mana waniona kwa maeneo hayaInna chalii wako iko wapi SAA hii ...umeiacha wapi mbona muda hii nakua mekungangania
carnte himself
Maserati natamani Jf wangeondoa Avator ...yaani Avatar kama wigi tuu[emoji13] [emoji13] [emoji13]