JamiiForums Usiku wa manane

twende mbele na kurudi nyuma, skiliza nyimbo zoooteee utazisahau ila ukiskia mlio wa mahaba sijui mtu anaguna chumba cha pili yaanii sauti inajirudiaga tu kichwani na usingizi haujii kabisa. AU NI MIMI TU NA UMALAYA WANGU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…