ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,115
You know nothing jon snow..
Napenda sana sauti ya huyu dada ilivyo ya kukwaruza..
Hafu wameona kabisa hawa jamaa
Yeaaah real kabisa.. nadhan ilikua 2016Wameoa kabisa,yani really?
Nilikuwa sijuiYeaaah real kabisa.. nadhan ilikua 2016
Hata Andre na yule aliekua mke wa pili wa Lucius lyon wa Empire wameoana mwaka jana
Now you know.. filamu zimewakutanisha wanandoaNilikuwa sijui
Mi sielew
[emoji38]usingizi kama unakuja kama unakataa hiviHuelewi nini mamaaaa
[emoji38]usingizi kama unakuja kama unakataa hivi
Hauji mzee saaa9 ndo utakuja kama unanitesa hv ,usingizi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Amka uuombee usije kabisa
Hauji mzee saaa9 ndo utakua kama unaniyesa hv ,usingizi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nmeipokea kwa mikono mi2Pole
Mimi leo nimekunywa kahawa, ndio maana mpaka sasa nipo machoNmeipokea kwa mikono mi2
Halafu umuonee huruma Dolly Parton basi😀😀Tena we mwenyeji wa enzi hzo na kina dingimtoto ndo unafungua mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeuzoesha hivyo ndio maana.Hauji mzee saaa9 ndo utakuja kama unanitesa hv ,usingizi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hadi wewe umekuja lindoni leo😀😀Usingizi umenigomea 😩
Usingizi umenigomea [emoji30]
Unajitesa tu aiseeeMimi leo nimekunywa kahawa, ndio maana mpaka sasa nipo macho