Kabisa unajua unashida [emoji38][emoji38][emoji38]
Hiyo ndio principle of favorability.The principle of favorability.
When you play cards the first time, you are almost sure to win. Beginner's luck.
Muigbo mwenye uraia wa TanganyikaAisee hapa nimekupata
Comrade! Wewe ni mnaijaa
Ngoja nikuambie ukweli my sis ni muuzaji waduka la pembejeo zakilimo na mifugo wakulima wake na wafugaji wake kipindi kama hiki cha sikukuu huwa wanampa nyama na mpunga Kama zawadi tatizo lako hutaki kutembea unabaki mjini tu hapa hivyo vitu vipo nje ya hapa nakama unabisha tunapokutanaga nitakupa namba zake umuulize mwenyewe.Twende tukanunue tukikuta elfu30 tunanunua wa3[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu dictionary yangu nimepotezaHiyo ndio principle of favorability.
Why is that?
"Because there is a force that wants you to realize your destiny; it whets your appetite
with a taste of success." 😀 😀
Singida hata bure unapata unabadilishana na shati used[emoji38][emoji38][emoji38]Singida hata buku 3 unapata
Alafu sio yeye tu, humu wengi wamebadiliInna yupo ila amechange ID
Mm sitaki ss hzo stori mm napigania nachokijua maswala ya pembejeo za kilimo achana nazo tuongelee kukuNgoja nikuambie ukweli my sis ni muuzaji waduka la pembejeo zakilimo na mifugo wakulima wake na wafugaji wake kipindi kama hiki cha sikukuu huwa wanampa nyama na mpunga Kama zawadi tatizo lako hutaki kutembea unabaki mjini tu hapa hivyo vitu vipo nje ya hapa nakama unabisha tunapokutanaga nitakupa namba zake umuulize mwenyewe.
Huyu kuku atakuwa wa dawa,Goddess hebu tuambie ukweli
DuuhSingida hata bire unabadilishana na shati used[emoji38][emoji38][emoji38]
Duuh! Basi! nashukuru comrade sina cha kuongeza
Lakini kuchi anatoka singida sasa usiwembishi nawe lol.Singida hakuna kuku wa hvyo singida kuna kuku mpaka elfu5 msimu wa mazao na wakiwa wenfi singida kuku wakiwa nadra soko kubwa mjini kuku anafika elfu 12 na hizidi elfu15 dodoma pia hvyo hvyo
[emoji38][emoji38][emoji38] huko sipo.Malizia sentensi,nguo bei rahisi za wanawake
Anakuwa wa kienyeji kweli?Sio dawa kuku anavyakula akipewa anakuwa mkubwa mno mm nilishamuona huyo mfugaji wakuku wakilo 9 nk.. Anasema kukuwake kwasiku anawapa vyakula aina saba tofauti na kwa muda maalumu ndio maana wanakuwa na afya hivyo.
Sawa mkuu
Hata yangu mkuu, nacopy na kupaste tuuMkuu dictionary yangu nimepoteza
[emoji38][emoji38][emoji38] dahHiyo ndio principle of favorability.
Why is that?
"Because there is a force that wants you to realize your destiny; it whets your appetite
with a taste of success." 😀 😀
Hadi Mia 3[emoji38][emoji38][emoji38] huko sipo.