Mm niko gud.Usiku bado mchanga [emoji4][emoji4][emoji4]
Usingizi kama wote...
Hope mpo salama popoz maana wengine tunakaribia kuuangusha
Sent using Jamii Forums mobile app
mm nipo nazani nafikiria amia kwenye movie saiz.
Ulale salama gal.
mm nipo nazani nafikiria amia kwenye movie saiz.
[emoji15][emoji15][emoji15] upo kigoma kumbe?Kibondo hapa
[emoji15][emoji15][emoji15] upo kigoma kumbe?
Unazani nakumbuka basi sikumbuki hata ndio maana nimeuliza?Nilishawahi kusema niko wapi kwani??[emoji6][emoji6][emoji6]
Unazani nakumbuka basi sikumbuki hata ndio maana nimeuliza?
[emoji38][emoji38][emoji38] kweli umeniweza mm sipo JFNipo hapa hapa JF.
[emoji38][emoji38][emoji38] kweli umeniweza mm sipo JF
01:59