Na jina la Bwana lihimidiwe!!Nanyi pia popote mlipo.
Zaburi 116
12 Nimrudishie BWANA niniKwa ukarimu wake wote alionitendea?
13 Nitakipokea kikombe cha wokovu;Na kulitangaza jina la BWANA;
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nifundishe msimamo.. maana huwa naaga hata kwa saa zima[emoji23][emoji23][emoji23] mm mwenyewe natoroka muda sio mrefu
Ameena....❤❤❤Na jina la Bwana lihimidiwe!!
Barikiwa sana mdogo wangu
Same to youNimrudishie bwana nini, kwa ukarimu wake woooote..
Aliyonitendea bwana mimi, Nimrudishie bwana niini?? Nitakipokea kikombe cha wokuvu na kulitangaza jina lake. Nimrudishie Bwana niini??
Huu wimbo umeniliza ndani ya kanisa, nalia kwa uchungu na furaha Daah wakati tunaimba kwa pamoja nimesikia miguu inakufa ganzi na midomo inashindwa tamka maneno. Mimi ni nani hadi Mungu kanipendelea kiasi hiki? Nitamlipa nini?
Mungu wetu ni mkuu.
Happy new year
Una maneno sana kumbe 2019 haijakubadilisha etiNzuri Kaka....Heri ya kuona yr 2020
Hahaha kikao kinaharisha ama sijaelewa
Utatimiza miaka mingapi 2020
20192019 was the Year of success...
2020 will be the year of more success...
Get Rich or die trying... no pain no gain...
Happy new year, Happy new month...
Cc: mahondaw
Ningeshangaa kama haupo hapa
Na kwako pia cheersHappy new year everyone , may 2020 be the sweetest year, full of joy n hapiness be blessed .
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwako pia thanks for showing love
Hahahahahahahahah naumia kwanini sijabahatika wakukata uno vile[emoji444][emoji444] uno lile gwajima, alimmwagia kondoo[emoji444]
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana
Mumeo umemuacha wapi upo hapa pekee yako