Mkuu sio kukomoana huko. Mimi vitabu nishasoma ila naona kama havinipendi na ukikaa mazingira ambayo hukiongei naona kabisa british council pananiitaHahahaaa pitia vitabu vya contributor wa English W.Shakespeare
Kabisa haiwezi [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe sio wa kunicheka hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] mm mwenyewe nikilema mzr tu wa lugha.Wewe sio wa kunicheka hivi [emoji23][emoji23]
Hahahaaa mimi lugha ya Spanish na Deustch ndio kuna muda inanitoroka maana sipati wa kuongea nae. Mpaka niwe na bro mmoja ambae ni guide anaelewa kidogo hizo lugha..so tunapiga vistori.Mkuu sio kukomoana huko. Mimi vitabu nishasoma ila naona kama havinipendi na ukikaa mazingira ambayo hukiongei naona kabisa british council pananiita
Ndio unatakiwa utoke sasa ukapate vitamin D..
Ndio unatakiwa utoke sasa ukapate vitamin D..
Popo mstaafu..Jirani usiku mwemah.
I am booking you for the :New Year eve.
Usiniambie kuwa jua lahuko ni sawa na lahuku Dar?
Nawe pia humofia [emoji4][emoji4]Kheri ya mwaka mpya makamanda!!
Usiniambie kuwa jua lahuko ni sawa na lahuku Dar?
Huu ukanda wa bahari umezidi sana nitofauti na huko.
Popo aliyesaliti kaziSijambo dear, niliwamiss pia. Vyuma tu ndo vimenifanya vibaya,we nawe huyo Kichwa Kichafu umemkaba mpaka penati hutaki kuniachia hata kwa sekunde [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23] kitaeleweka kesho.Tupo hapa tunalinda uwanja wa taifa wahuni wasije kufanya uchawi.
Hatoki mtu leo. Naona kunakikundi kinaweka mipango kule nje ya uwanja.
Sent using Jamii Forums mobile app