Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Ndio rafiki huku hamna hata cinema mtu uende kuwatch movie au mjini huku ina sehmu inaijua ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kusini mtoto mdogo anafundishwa kutumia vidonge vya majira yani cha kulindwa ni hadhi ya familia kuwa binti hakuzalia nyumbani ila kuhusu ukimwi hawajali sana unless wawe wamebadilikaNashukuru watu hawaogopi ukimwi kabisa wamejiweka tayari kwa lolote .
ni hatari sana mambo yanazidi kuwa mengi .
Sent using Jamii Forums mobile app
One najiunga humu nilitumia jina langu baadaye nikaona nibadili tu ilituende sawa.True bro
Huko kusini mtoto mdogo anafundishwa kutumia vidonge vya majira yani cha kulindwa ni hadhi ya familia kuwa binti hakuzalia nyumbani ila kuhusu ukimwi hawajali sana unless wawe wamebadilika
Kwahiyo hata window hutapata mtu wa kukupa mpaka udownload mwenyewe?
Kwahiyo unaweza Fanya vyote saiz mwenyewe?Siwez ila kuna mtu namjua nimekumbuka 2017 nilimpw mtu 25k tu kubadilisha window na kuweka programs toka hapo sijawah fnya hicho kitendo cha kulipa mtu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kusini mtoto mdogo anafundishwa kutumia vidonge vya majira yani cha kulindwa ni hadhi ya familia kuwa binti hakuzalia nyumbani ila kuhusu ukimwi hawajali sana unless wawe wamebadilika
Kwahiyo unaweza Fanya vyote saiz mwenyewe?
Hizo hospitali zenyewe haswa vijijini zinatia huruma sana. Elimu Elimu ElimuNi hatari naona elimu itolewee kwa wananchi zsidi waweze kujikinga na hili tatizo mapema .
Kuna wanawake wajawazito wapo wana neglect kutohudhuria clinic ASAP mara baada ya kugundua they are pregos
wengine wanakaa five months bila kwenda clinic hii inaweka mtoto kwa risk sana .
Sent using Jamii Forums mobile app
Feeling imekaaje kabla na baada ya kubadilishaOne najiunga humu nilitumia jina langu baadaye nikaona nibadili tu ilituende sawa.
[emoji23][emoji23][emoji23] ningekuwa huko ningezitafuna sana hela zetu nyie watu kwa vitu kama hv.
HatariAaah! Huko noma kweli yaan.
Naona kawaida tu hakuna kilichobadilika.Feeling imekaaje kabla na baada ya kubadilisha
Hizo hospitali zenyewe haswa vijijini zinatia huruma sana. Elimu Elimu Elimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikajua na hela unatakiwa ujifunze sasa yaan sawa na mtu mwenye gari alafu anaendeshwa kilasiku ajui kuendesha mwenyewe.[emoji23][emoji23] ananiwekea bure huyu mm sitoi hela tena nakumbuka kuna muda nilidanganya Pc mbovu tu ili niweze kuchange window .
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikajua na hela unatakiwa ujifunze sasa yaan sawa na mtu mwenye gari alafu anaendeshwa kilasiku ajui kuendesha mwenyewe.
Then huna cha kuficha na upo real humu. Unajiamini personally. Mimi nina tendency ya kuchat na watu wenye situations ambazo si nzuri na mara nyingi huwa nawafungukia kuhusu life langu black and white. Sasa nikisema niweke jina langu halisi itakuwa mtihani broNaona kawaida tu hakuna kilichobadilika.