Junior account ya crdb unaruhusiwa kutoa hela mara tatu tu ndani ya mwaka ,hilo ni sharti ya kuiendesha account hiyoHizi junior account nazo sio vizuri kuzitoa toa hela. Ni vizuri zikaemo siku ukikwama kabisa ndio zitoe tafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamezingua kweli vijanaIlikuwa mida ya kulala, leo Simba wamezingua.
Inapendeza sana mkuuSio mbaya mkuu, ni mwendo wa kupeana vijiti
Mimi kama katibu mwandamizi wa lindo nimeruhusu basi. Lindo litaanza saa 5 na kufungwa saa mbili asubuhiKazi za ulinzi ni tofauti kidogo, ukishafika eneo la kazi tayari uko on duty chochote kitakachotokea na upo lindoni utawajibika,
Wamezingua kweli vijana
Utalimwa baruaSijaonekana siku 3 humu.
Tumepokea utaratibu huo, effective utaendelea kesho na siku zoteMimi kama katibu mwandamizi wa lindo nimeruhusu basi. Lindo litaanza saa 5 na kufungwa saa mbili asubuhi
Mimi kama katibu mwandamizi wa lindo nimeruhusu basi. Lindo litaanza saa 5 na kufungwa saa mbili asubuhi
Natumai maelekezo yatafuatwa..
Wapendwa kwema?
Aisee siku zinakwenda si mchezo
Hahaha, utaelewa humo humo. Muhimu ni kujua goli ni lipi.
Tutaelekezana siku hiyo