Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Hahahaha, hata mm naliona ,sijui tatizo nnYaani siku hizi naona wimbi la kubadili ID limeshika kasi. Kwa hiyo inabidi kurudi nyuma kidogo ili kuelewa ni nani muhusika
Ni yule yule wa kitambo kileeeeee
Dada yako kipenzi
Hahahaha, hata mm naliona ,sijui tatizo nn
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, inawezekana asee , ngoja niwapange vijana ,tuendelee na lindoLabda mwaka mpya na mambo mapya.
Hiyo sijasoma..Kwenye gazeti la Ambha, kuna mzee nimemsahau jina aliwapelekea wacheza netball
Najibu maswali yako yote, siku ukiwa tayari anza kuuliza. Ya mpira tu lakini.
Wale wa ibada ya kwanza kesho, tayari mmeshaanda nguoView attachment 1312626
Jamaa leo hujatokea..[emoji23][emoji23][emoji23] kitaeleweka kesho.
Hahahaha, inawezekana asee , ngoja niwapange vijana ,tuendelee na lindo
MTC | 101| [emoji769]
Sijaisaliti kazi yangu bali maisha ndo yamenisaliti🙆🏻Popo aliyesaliti kazi
Mimi ndio mlinzi mtiifu toka may 2017 nipo humu sijaacha kukosa mahudhulio..Sijaisaliti kazi yangu bali maisha ndo yamenisaliti🙆🏻
Yani umekuja kwa uzi baada ya kuona kiatu chako...where ave u been mate, karibu sana ulipotea
Hahahaha, haina tatizo Mkuu, naomba sasa uelekee huko usemapoSawa mkuu, naomba unipange lindo moja na chiqutitta, geti la kule chini. Nimeona ameshaingia lindoni
Hongera SanaMimi ndio mlinzi mtiifu toka may 2017 nipo humu sijaacha kukosa mahudhulio..
heri ya mwaka mpya na kwako pia mpendwa!Nimekumiss zaidi dear!
Heri ya mwaka mpya.