Safi kama nakuona, unavyofill uwepo wa Mungu
Hata mimi naona , ngoja nisubirie labda naweza kupata upakoRoho mtakatifu kanigusa kwa namna yake mate nsona kuna kitu anataka nifikishe hapa mate, usicheze mbali utaokota kitu
Unatucheka sio...
Haya asante.
Bado hujaaga siyo?
Tuko pamoja mkuu. Leo vijana wametuangushaUnatucheka sio...
Hahahaha January kwako itakua mteremko baada ya kuguswa na roho mtakatifuHata mimi naona , ngoja nisubirie labda naweza kupata upako
Naam AmeenaHakika imekua imani yako imekuponya mkuu
Mpaka usingizi unagoma.. Haswa ukizaliwa familia moja wengine Yanga natamani nipingulie udugu hata wiki moja..Tuko pamoja mkuu. Leo vijana wametuangusha
Utajuaje kua una roho mtakatifu?Roho mtakatifu kanigusa kwa namna yake mate nsona kuna kitu anataka nifikishe hapa mate, usicheze mbali utaokota kitu
Mpaka usingizi unagoma.. Haswa ukizaliwa familia moja wengine Yanga natamani nipingulie udugu hata wiki moja..
Sisi Simba tuna mdomo mchafu lakini Yanga midomo yao kama uvundoo..Pole mkuu hahaha
Karibu tenaNimerudi.
nafasi ya uweka hazina naona nitaitendea hakiNa wewe uje uwe mzee wa kanisa sasa
Huwa siagi
Hatariinafasi ya uweka hazina naona nitaitendea haki
Wakati wa maombi utakapo badilisha lugha automatic bila kujijua hapo roho mtakatifu kashuka pale unasikia unanena kwa lugha huku ukitetemeka nguvu zikiongezekaUtajuaje kua una roho mtakatifu?