Ahaaa hapo fresh mkuu. Piga pesa watoto waje kuwa proud6 months nina life time ya hapa sasa nina prog nyingi sana na hapa na nje ya hapa pesa tu ndio huwa inaniamisha kila mkoa.
Jiamini mrembo,uzuri tunauona sisi.
Prod wapi baadaye wanakuuwa wachukue mali au wakutoe sadaka kabisa kizazi chetu sinani kama wataweza kukabiliana na Changamoto watataka sana kitonga.Ahaaa hapo fresh mkuu. Piga pesa watoto waje kuwa proud
Ila hapa usingizi ushanianza anza
Ushawahi kuiona njaa ? Ila si una ifeel ? Ndio ilivyo hata uzuri wako kwangu.
Nitakutafuta mrembo.
Teknolojia inawapa options zaidi hivyo mambo yanazidi kuwa rahisi zaidi. Ni suala la malezi na kumuomba Mungu tu brotherProd wapi baadaye wanakuuwa wachukue mali au wakutoe sadaka kabisa kizazi chetu sinani kama wataweza kukabiliana na Changamoto watataka sana kitonga.
Ukipatwa na Ukeke nishtue
Uchokozi mwingine bwana.....[emoji19][emoji19][emoji19]
Sijajua mpaka sasa tafsir ya hili jua kali kias ichiTafuta kimvuli