Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Haiwezi kusumbua cos ni data base.......kuna issue nilikuwa najaza data zangu sasa kuna option ya Nida,zilikuwa automatic baada ya kuweka namba,so itakuwa rahisi tuHope renewal inatakuwa rahisi sio waseme wamepoteza file lako
Cha jembe la mkono[emoji23][emoji23][emoji23] ndio kikoje hiko kilimo?
Haiwezi kusumbua cos ni data base.......kuna issue nilikuwa najaza data zangu sasa kuna option ya Nida,zilikuwa automatic baada ya kuweka namba,so itakuwa rahisi tu
Mbona kizuri hiko unawezaje kukiita kufa na kupona sasa?Cha jembe la mkono
YeahHapo sawa
Umewahi kulima?Mbona kizuri hiko unawezaje kukiita kufa na kupona sasa?
No mm najua kula tu babu [emoji23]Umewahi kulima?
Amani iwe kwenu
Hapo huwezi kunielewa mkuu😂😂😂,aliyewahi kulima kwa jembe,mundu,panga ataelewa ugumu wakeNo mm najua kula tu babu [emoji23]
Lakini natumaini siku moja nitawekeza huko kwenye kilimo nitajionea unayotaka kuyasema.Hapo huwezi kunielewa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23],aliyewahi kulima kwa jembe,mundu,panga ataelewa ugumu wake
Hujambo?
Sijambo kabisa, sijui ww?Hujambo?
Karibu sana investaLakini natumaini siku moja nitawekeza huko kwenye kilimo nitajionea unayotaka kuyasema.
Najua kidogo sana kuhusu kilimo coz mama yangu alipostaff kazi alikuwa mkulima lakini sasa ameacha kushika jembe anaangaika na migomba yake huko.Karibu sana investa
Na kwa Roho yako piaAmani iwe kwenu
Okay,nilishika jembe miaka mingi iliyopita,kwa mazingira yangu saizi nilipo hata shamba sinaNajua kidogo sana kuhusu kilimo coz mama yangu alipostaff kazi alikuwa mkulima lakini sasa ameacha kushika jembe anaangaika na migomba yake huko.
Niko salama namshukuru MunguSijambo kabisa, sijui ww?
karibu lindoni unaonekana uko humble sana ww?Niko salama namshukuru Mungu
Bora hata ww unaexprience ukipata shamba unafanya maajabu mm sijui chochote alafu unaweka pesa huko ni risk nafanya.Okay,nilishika jembe miaka mingi iliyopita,kwa mazingira yangu saizi nilipo hata shamba sina