Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Kwahiyo uko sambamba kabisa na hili tukio la leo kama siku ya kubadilika mwaka vile [emoji23]Sisi Walinzi pekee ndio tutashuhudia tukio LA kufungwa kwa Line, Live kabisa! Dakika 45 kuanzia saaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Guy too fam.Hope you guys are good out here..
Imebaki 7 minutes. Umekwishafanikisha usajili vinci ??..Hope you guys are good out here..
Daahh [emoji23][emoji23][emoji23]Njoooni, Njoooni, Njoooni, mko wapi jamani? TCRA wanafunga tena kama simu feki, hivi hij yangu si ni copy hii.. Njooooni
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado na sikufuatilia kabisa leo mkuuImebaki 7 minutes. Umekwishafanikisha usajili vinci ??..
Sio poa asee. Jitahidi kufanya mchakato hata wakishazifungiaBado na sikufuatilia kabisa leo mkuu
Ngoja nijitahidi kesho nifuatilie.Sio poa asee. Jitahidi kufanya mchakato hata wakishazifungia
[emoji23][emoji23] toa msaada sasa atakwasauti ita wezi kama kupambana unaogopa babu au upotinga leo?Day 03
wale jamaa wamerudi tena ila Leo nashangaa wamewahi siku ile ilikuwa around saa saba ila Leo wako wachache wapo wawili mmoja anachana wavu mwengine anameshika spray ila sio dirisha lilelile la mbele kidogo nawachungulia tu nawachora hii ni kweli wakuu sio utani
Badala ya kurudishia pazia taratibu na kuendelea kuchati humu kama siku ile nilivyowaona Mara ya kwanza niwakaelezea humu nimeona niache ujinga
Hapa nimeamua niache upuuzi nimezima taa ya nyuma ya upande wa kwangu ambayo kamwanga kanaelekea hadi nyumba ya jirani kule kwa mbali ambayo madirisha yake ya nyuma yanatizamana na yangu kwa nyuma kumekua Giza kidogo nimerudishia pazia taratibu nimechukua simu haraka kwa upesi ndo nimeingia jf naperuzi
23:57
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtambo wa kuzimia umeibiwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hi chiqutita nakuona unasneak.
Usijali ntakucall baharia.Huyu mchumba akija mniamshe
Walisema au unahisi maana sijasikia tamko tena zaidi ya lile la chuma?