Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Hakika dalili zimeonyesh haswaaa, una akili za kiuchungaji
Jesus is my saviour and a friend
Aisee muda wowote nikiwa na njaa nagonga msosi hata saa 8 au 9 za usiku. sijivungiOohoo..! Nilijua kitu kama hicho kinafuata
Mimi ikifika saa5 usiku bora nisile nakosa hamu yakula kabisaa
Duuuh, kweli kila ntu na ntuwe mimi nishazoea mto wangu aah safiiKazoea kukumbatiwa nimemsogezea mkono mmoja naona katulia[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Jesus is my saviour and a friend
Labda viungo vinauma, anahitaji ka massage [emoji39] [emoji12] [emoji40]Sawa naona anajigeuza geuza cjui anataka nini
Jesus is my saviour and a friend
Tumbo lako liko vizuri inaonekana, sasa kama sa8 ucku ukila unalala saa ngap?Aisee muda wowote nikiwa na njaa nagonga msosi hata saa 8 au 9 za usiku. sijivungi
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kazoea kukumbatiwa nimemsogezea mkono mmoja naona katulia[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Jesus is my saviour and a friend
Nalala nusu saa baada ya kula.Tumbo lako liko vizuri inaonekana, sasa kama sa8 ucku ukila unalala saa ngap?
Uwiiii aika san iyo[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mndumii Ruwa nakuirie kyam kyake nakuringe
Mndumii Ruwa nakuirie kyam kyake nakunenge opforo,
Obarikio ko rina la Ruwa Wande, Mana na Mumuyo mwele.
Hahahhahahahaha unajua utanifanya niachiie nacheka kwa nguvu sana looohDuuuh, kweli kila ntu na ntuwe mimi nishazoea mto wangu aah safii
Nahis hata mm, kuna viungo vingine wakati vyenzao vimelala vyenyewe vinasimamaLabda viungo vinauma, anahitaji ka massage [emoji39] [emoji12] [emoji40]
Ratiba si yako sport sport kabisa,Nalala nusu saa baada ya kula.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] nini ambacho huamin mkuu?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tutumie kapicha basi tuthibitishe kama ni muumini wa kumbato[emoji40] [emoji125]
Amen. Kiwekyo nanga ya Ruwa.[emoji120]Uwiiii aika san iyo
Chaaa ngaloryo msatcha oko
RUWA akuenenge iseko
Jesus is my saviour and a friend
Kwel mto safii, asante..!! ila ni mapito tu yanamwisho wakeHahahhahahahaha unajua utanifanya niachiie nacheka kwa nguvu sana loooh
Mto tena? Duuuh pole mkuuu
Jesus is my saviour and a friend
AhahahaaaaaaSawa naona anajigeuza geuza cjui anataka nini
Jesus is my saviour and a friend
Kazoea kukumbatiwa nimemsogezea mkono mmoja naona katulia[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Jesus is my saviour and a friend
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nahis hata mm, kuna viungo vingine wakati vyenzao vimelala vyenyewe vinasimama
Teh teh
Jesus is my saviour and a friend
Laa kucha mshiki oko.Baini wapendwa, kuna uzi nimesoma wanaume ni adimu ukimpata shikilia. Siko tayari kuachwa acha niendelee kukumbatia
Malaika wa Mungu awazingire muwe na njozi njema
Jesus is my saviour and a friend
Hehehe haya shikAmanA dada kisawasawaBaini wapendwa, kuna uzi nimesoma wanaume ni adimu ukimpata shikilia. Siko tayari kuachwa acha niendelee kukumbatia
Malaika wa Mungu awazingire muwe na njozi njema
Jesus is my saviour and a friend
Sijaamini kama kweli mkono umekumbatiwa[emoji39] [emoji40][emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] nini ambacho huamin mkuu?
Jesus is my saviour and a friend