Sisi ipo hivi. Leo si wanasali kwetu basi nyumba itakayofuatia ndio wanabeba viti vinaensa kukaa kwao hadi siku ya ibada tena.Kufagia nakua mgumu kidogo na hilo swala maza analijua, kuna siku niliepuka msala wakubeba viti kwa kulala kwenye geto la mshkaji
It's Scars
[emoji23][emoji23][emoji23] Jitahidi babu ibada nikila kitu amini katika kile unachoamini.Shetani hua anajichukulia point ukiamka usiku usali roazli unajikuta asubuhi rozali umeitupa hafu hujui ulisinzia vipi
Help meUnakosa Madini mwilini
[emoji23][emoji23][emoji23] unataka unnunue na unga, sukari, mafuta ya kula na mchele kabisa au utaweka bando kwajili ya movie?
[emoji23][emoji23][emoji23] sijajua atasemaje kuhuyu huyu mwananchi ni wakwao au sio wao maana kawadharilisha mabaharia kutoka buza.Kwani Baharia Wa Buza anasemaje kuhusu jamaa?
Naam..[emoji23][emoji23][emoji23] Jitahidi babu ibada nikila kitu amini katika kile unachoamini.
[emoji23][emoji23][emoji23] acha uhuni we mwanamke.
Vikitoka hapo kwenu vinabebwa na nani?Sisi ipo hivi. Leo si wanasali kwetu basi nyumba itakayofuatia ndio wanabeba viti vinaensa kukaa kwao hadi siku ya ibada tena.
Kupanga vitu lazima maza atuamshe maana yuko mwenyewe
Hahahaha, ili uje nilipo eehNdio natengeneza mazingira
aah napokaa wananchi hawapo sasa wakusali jumuhiya.Fanya urudi kundini...soon utaenda andikisha ndoa
Vinabebwa na watu wa nyumba tutakayosali wiki ijayo. Maana hata sisi ndio tulivibeba ijumaamosi iliyopita
Kwanza ticha alishaniambia kua sifuri ni swa na hamna kitu, sasa unavyokomaa uongezewe sifuri utajikuta umeipunguza samani hata hiyo 3 iliyobakia ohoo
It's Scars
Mzee hela ya kwenda video hujanipa😀😀😀Hahahaha, ili uje nilipo eeh
MTC | 101| [emoji769]
Doria kenda, Tembo chini ,eneo la maji ,ova
MTC | 101| [emoji769]
Mi nilipitia hapa kuwasalimia na kuangalia nani wapo macho mida hii.
Ngoja nirudi kuendelea kumalizia kusoma novel yangu.
Usiku mwema wadau.
[emoji23][emoji23] mm mwenyewe mtu wa mahesabu alafu pia kula napenda pia.Nisiwe muongo...umepatia kila kitu.