Katekista wala padri halipwi.. sema padre majukumu yake hua anajikimu kuoitia fedha tunazotoa..Ooh ,hivi katekista hana mshahara? Huwa yuko chini ya nani ? Mie huwa nafanyaga vile nazigawa km nilivyosema
MTC | 101| [emoji769]
Kesho kanisa nasi tu sina usingiziMapema sana
MTC | 101| [emoji769]
Usiiu mwema pia mkuu Oscar..Naangusha na hii ndo post yangu ya mwisho humu kwa muda huu mpaka hapo itapotimia majira yajayo.....
Chau
FuatiliaAah sijawahi ku prove hilo kwaiyo sijui kama lima ukweli wowote, ila nachojua inasifiwa kua ni dawa ya u.t.i
Duh sawa sawaKatekista wala padri halipwi.. sema padre majukumu yake hua anajikimu kuoitia fedha tunazotoa..
Ila katekista halipwi wala hagusi hata mia 1 ya kanisa. Katekista hua ni mwalimu wa kawaida kama hakuna padre na anashiriki katika kufundisha masuala yote ya imani hasa ndoa ubatizo komonio kipaimara na katukumeni..
Yupo chini ya parokia ya nimbo husika
Pouwa..Duh sawa sawa
MTC | 101| [emoji769]
Kesho kanisa nasi tu sina usingizi
Sawa usiku mwema ,acha niende mitaa ya sinzaNaangusha na hii ndo post yangu ya mwisho humu kwa muda huu mpaka hapo itapotimia majira yajayo.....
Chau
Sawa usiku mwema ,acha niende mitaa ya sinza
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha
Hahahaha,we uko ktk sabato huwezi kukesha
Hahahaha ,kweli kila biashara ina mbinu zake, ndio wanasema huongeza nguvu za kiume?
Halafu haya madawa Mengi ya kutibu hizo nguvu ni za masheikh kwann ? Yaani zinauzwa misikitini zaidi
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, kwamba wao wanakunnywa hizo sbb ya wake wengi?Saaasa kanisani mke mmoja tu kama mswaki, dawa ya nguvu ya nini tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, nyepesi eeh ,hujambo mremboHii January imekuwa laini sana halafu imeenda haraka haraka
Sijambo..mambo?Hahahaha, nyepesi eeh ,hujambo mrembo
MTC | 101| [emoji769]