Ni ile juzi hii ulinusa na kutokaJana sikuingia huku
[emoji113][emoji137]
Hata Jana mangaNi ile juzi hii ulinusa na kutoka
Hata leo utasepa kinyemelaHata Jana manga
Kila siku, hata juzi, jana na leo[emoji108]
ahsante sana mkuu naona naingia wenyeji mnatoka...Karibu mkuu
Sawa hamna neno jirani yangu, nikutakie usiku mwema.Jirani kipenzi nakukabizi mizigo acha nikimbie tu.
Hii, mzima wewe?[emoji113]
Hello [emoji112], how are you?Helo gud people
Jesus is my saviour and a friend
Mii mzima khofu kwakoHii, mzima wewe?
Hatimaye leo tumeonanaMii mzima khofu kwako
Tunapishanaga tu nikiingia ushatokaHatimaye leo tumeonana
Yeah now days nimebanwa sana nalizimika kuamka kumi na mbili asubuhiTunapishanaga tu nikiingia ushatoka
Mkuu kama kawa wapweke hatukosi
Am gud guda, mbona kama unaaga? Au naotaHello [emoji112], how are you?