Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Sio lazima uwebishoo ndio ucheze bball bhana.[emoji23][emoji23][emoji23] acha uoga.. mpira nilicheza nilipokuwa mdogo (unajua mambo za changanyikeni),
basket nna idea nayo maana mabro zangu wawili ndio ulikuwa mchezo wao so, weekend mjiandae kwa crew zao kuja kucheki cd's zao.. wanaiba maujanja, mabrazamen watupu .swaggz za bball
Wachache mkuu.. wengi ndio swagz zao zile za black AmericansSio lazima uwebishoo ndio ucheze bball bhana.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwani hujui wananchi gani wa kuroll nao na wengine sio humu?Niamini bro.. kwa nilioyaona na kusimuliwa. Jf sio sehemu cool na huwa yanalipuka watu wakizinguana. Wengine wanakimbia ID's au kufungua ID's mpya za kuchafuana. Drama nyingi af siziwezi
[emoji23][emoji23][emoji23] bball ndio ni mchezo wa black Americans na ulianzishwa kwenye zile movements za ukombozi wa watu weusi kule maandishi matatu (USA)Wachache mkuu.. wengi ndio swagz zao zile za black Americans
Kuroll kwenye majukwaa its ok.. vipi kuchukua further step mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] kwani hujui wananchi gani wa kuroll nao na wengine sio humu?
Ndo maana twitter waliwakandia kuwa mnaocheza bball mnajiona black Americans.. wanyamwezi [emoji23][emoji23][emoji23] ..kumbe na ww muhusika[emoji23][emoji23][emoji23] bball ndio ni mchezo wa black Americans na ulianzishwa kwenye zile movements za ukombozi wa watu weusi kule maandishi matatu (USA)
JF watu aina zote wapo humu.Kuroll kwenye majukwaa its ok.. vipi kuchukua further step mkuu
Hilo nakubali.. unaangalia kuendana japo unaweza kuta mtu mmoja ana ID tatu zenye personality tofauti [emoji16][emoji16]JF watu aina zote wapo humu.
[emoji23][emoji23][emoji23] hao ni watu wenye wivu tu hawawezi kusumbua sema bball nilienda umiseta mara ya kwanza watu wananyuka vitu uwanjani hapo unyamwezi sana pendeza lakini jua kucheza ukipodoa watu watakubeza sana.Ndo maana twitter waliwakandia kuwa mnaocheza bball mnajiona black Americans.. wanyamwezi [emoji23][emoji23][emoji23] ..kumbe na ww muhusika
Hao si wapenda matusi akipewa block I'd moja anaingia ilenyingine mm sifanyi huo upuuzi kwanza.Hilo nakubali.. unaangalia kuendana japo unaweza kuta mtu mmoja ana ID tatu zenye personality tofauti [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] umiseta.. long time mzee[emoji23][emoji23][emoji23] hao ni watu wenye wivu tu hawawezi kusumbua sema bball nilienda umiseta mara ya kwanza watu wananyuka vitu uwanjani hapo unyamwezi sana pendeza lakini jua kucheza ukipodoa watu watakubeza sana.
Kawaida mkuu .. itafika kipindi utaelewa.. usiniulize kama ninayo ya piliHao si wapenda matusi akipewa block I'd moja anaingia ilenyingine mm sifanyi huo upuuzi kwanza.
Kitambo sana kama hukucheza umiseta ww utakuwa upo mbali na michezo maana pale ndio kilikuwa kipimo tosha cha uwezo wako.[emoji23][emoji23][emoji23] umiseta.. long time mzee
[emoji23][emoji23][emoji23] uko unazo mbili kumbe loh.Kawaida mkuu .. itafika kipindi utaelewa.. usiniulize kama ninayo ya pili
[emoji23][emoji23][emoji23] mm saa 8 nalala kesho kuna makonzi (money) naenda kuyafuata so siwezi kuchelewa kabisa alafu nitakuwa na siku ndefu sana pia.Af hii monday kweli ipo dark blue..kichwa kizito..lindo gumu
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku mamanzi A'level walikuwa wanadiscuss jinsi nitakavyoleta hamasa katika team kama ikitokea nimevaa bukta kwa ground .. walitaka kuona miguu yangu inafananaje [emoji23][emoji23]Kitambo sana kama hukucheza umiseta ww utakuwa upo mbali na michezo maana pale ndio kilikuwa kipimo tosha cha uwezo wako.
Mzee usinitafutie ugomvi na mods[emoji23][emoji23][emoji23] uko unazo mbili kumbe loh.
Same kwangu mzee..ila ntachelewa kuamka kimtindo[emoji23][emoji23][emoji23] mm saa 8 nalala kesho kuna makonzi (money) naenda kuyafuata so siwezi kuchelewa kabisa alafu nitakuwa na siku ndefu sana pia.