Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woooi unamiguu kama ya dogo janja nn?[emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku mamanzi A'level walikuwa wanadiscuss jinsi nitakavyoleta hamasa katika team kama ikitokea nimevaa bukta kwa ground .. walitaka kuona miguu yangu inafananaje [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mods wahumu ni waovyo sana watu wanatukana tu na hawafanywi lolote nishashuhidia kadha wakadha ni hawana mpya huwezi kufungiwa usiogope babu.Mzee usinitafutie ugomvi na mods
Dah All Start Games itakuwa na mishumaa mingi ya kutosha siku hiyo [emoji22]Kwa wapenzi wa kikapu hz ni habari mby sana kuzisikia RIP Kobe Bryant
View attachment 1336370
[emoji23][emoji23][emoji23] acha uvivu ww usipende sana kitanda.Same kwangu mzee..ila ntachelewa kuamka kimtindo
😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woooi unamiguu kama ya dogo janja nn?
12.04 am00:00hrs