Hahah mkuu ukimpata nishtue na mimi nione kama ntapata wa pili.Karibu sana, mimi huku ndiko nipo natafuta mke wa tatu humu.
Itabidi nkufundishe kuwa mcapitalist... you can't give more than what you can haveI'll always be the fool with a big heart, who give more than I have
Sisi tuna mbinu za kuwajua ni kina nani wanawake na kina nani kinyume chake na kina nani wanao jifananiza na wanawake.Hahah mkuu ukimpata nishtue na mimi nione kama ntapata wa pili.
Isijekuwa tupo na kangi lugola humu mana sidhani kama atalala kwa stress
Sent using Jamii Forums mobile app
True.. inspirational song gani ingine unaipenda
It's so hard to to forget completely who you are..Itabidi nkufundishe kuwa mcapitalist... you can't give more than what you can have
Utakuwa muhenga kidogo maana kuna madam wangu alikuwa akizipenda nyimbo za dolly. Alikuwa muimbaji wa country songs sio au nimechanganya files
I understand bro, its hard but being a soft hearted person in this world which is full of hungry beasts is more than dangerous mzee..It's so hard to to forget completely who you are..
That’s God-made Instincts
Let it be.I understand bro, its hard but being a soft hearted person in this world which is full of hungry beasts is more than dangerous mzee..
Asante ila muziki mzuri hauna umri...Mimi hizo nimewakuta wazee wangu wanasikiliza na sijawahi kuzichokaHongera kwa kula chumvi maana ni baraka hiyo
Ukikutana nao... usisite kuja kunijulisha na ukifanikiwa kuwabadili itakuwa nzuri zaidi. All the bestLet it be.
Softhearted peoples wameumbwa ili kuwa mshumaa kwa hao beasts...
Giza kubwaaa hufukuzwa na mwanga mdogo wa njiti.
Wazee wako walikuwa advance mimi, kwangu ilikuwa bakurutu kwa sana na taarab kwa mbali. Hizi nyimbo zingine nimejifunza kwa brothers na sister wangu.. Huwa najihisi fresh nikizisikilizaAsante ila muziki mzuri hauna umri...Mimi hizo nimewakuta wazee wangu wanasikiliza na sijawahi kuzichoka
No..Sio mimiUkikutana nao... usisite kuja kunijulisha na ukifanikiwa kuwabadili itakuwa nzuri zaidi. All the best
Caz T na manzi alikuwa anaitwa sarah kama memory yangu ipo fresh.. early 2000'sUle wimbo unaoimba "nakuhitaji mpenzi wangu nakuhiyaji, Unaniita" Umetoka mwaka gani?
Nadhani nimeanza kuusikia nikiwa nina 5yrs..Jina la msanii ni nani niutafute?
Aisee.. mimi nilijua ni miaka ya 90Caz T na manzi alikuwa anaitwa sarah kama memory yangu ipo fresh.. early 2000's
Probably ulikuwa mdogo sanaAisee.. mimi nilijua ni miaka ya 90