Ha ha haaa unajitahidi kuwepo mida hii na kumka mda huoYeah now days nimebanwa sana nalizimika kuamka kumi na mbili asubuhi
Hapana huo ni mkono wa Salamu pia,Am gud guda, mbona kama unaaga? Au naota
Jesus is my saviour and a friend
Yeah ni kweli, ila saba kamili ndio Muda wanguHa ha haaa unajitahidi kuwepo mida hii na kumka mda huo
Kutekeleza majukumu muhimu
Upo vizuri na mchana hua una lala kidogo lakini?Yeah ni kweli, ila saba kamili ndio Muda wangu
Ha ha haaa aga ulale tu usije amka na cm mkononiNipo nasinzia sinzia tu hapa
Ngoja nilale,maana weekend kulala kwangu ni ngumu sana. Sipatagi usingiziHa ha haaa aga ulale tu usije amka na cm mkononi
Nautamani usingizi
Haya usiku uwe mnono kwakoNgoja nilale,maana weekend kulala kwangu ni ngumu sana. Sipatagi usingizi
Na kwako piaHaya usiku uwe mnono kwako
04:54Kumekucha
Popooooo[emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] hawa ndio watu wasiojulikana. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3] [emoji124] [emoji124] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha tufunge gateMkuu kama kawa wapweke hatukosi