Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Wazungu yaan first date mfahamiana vzr tu yapili mnalana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku kwenyewe pasua vichwa kinoma. Ila ni understanding kuliko wabongo. Pia hawana vizinga vya kiboya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu ndio life lknBibie alikuwa na bwana ake ambae hakuwepo kwa muda mrefu kidogo na hakuniambia kabisa yani mwanaume nikaanza michakato ya kuweka ndani mtoto mzuri afu jamaa ake akaludi ilikuwa noma na nusu aise sina ham tena na kitu kuoa walahi[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
misosi ndio kila kitu kushindia ngano huko sitoweza mm.Na kama unapenda misosi mizuri bora ubaki bongo mzee, huku ukikaa siku 2 umekonda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe ushauri zaidi huyu kijana wanguMiaka ya mwanzo utashika hii nia yako, as days goes by utakesha tu, upende usipende.
Umekaa kiuharibifu tu mkuu [emoji23][emoji23] .. yaani waharibifu wote wanapenda latinasAnitafutie Canadian au Brazilian hawa ndio ninao wakubali huo mseto wa USA siutaki.
[emoji23][emoji23][emoji23] unaniombea visanga tu ww pumbafu.Hadi uoe, tutakuwa tunakutana maeneo mingine nikikupa leso ya kufuta machozi pale wife akizingua.. nakujua damu yangu ni love sick
HahahahaaaaSasa hao watamfaa huyu jombaa. Anajifanya kavu sana na hapendi ujinga [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa bro em rekebisha mambo kijana aopoe jiko maana bila ya kumsaidia ndugu yetu hatooa
MulemuleWazungu yaan first date mfahamiana vzr tu yapili mnalana.
Raha ya kitu huwa mwanzoni tu pale ndio maana yako..Miaka ya mwanzo utashika hii nia yako, as days goes by utakesha tu, upende usipende.
[emoji123][emoji123][emoji123]Pole mkuu ndio life lkn
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] BrexitBritish [emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using Tapatalk
Wapi mbona sijaona mm![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio ishu kubwa sana lakini nimeiandika hapo juu.
Sent using OPPO Mobile Phone
Pambana kiongozi.Mambo mengi mkuu,maisha yanakaba so najaribu kupambana nayo.....kama saizi nipo barabarani
Sasa bila visanga hutokuwa philosopher na naona hiyo potential unayo... ni brotherhood tu mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] unaniombea visanga tu ww pumbafu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndoa ya miaka 47 inavunjika
Happy Brexit [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using Tapatalk
Post no 79300.Wapi mbona sijaona mm!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah kweli mm sitakiwi mema hapa.Sasa hao watamfaa huyu jombaa. Anajifanya kavu sana na hapendi ujinga [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa bro em rekebisha mambo kijana aopoe jiko maana bila ya kumsaidia ndugu yetu hatooa
Sijui nifanye nn uone jema hommie [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah kweli mm sitakiwi mema hapa.