JamiiForums Usiku wa manane

Upo sahihi sana mkuu,hiyo institution ni ngumu sana naiwazia hapa kuingia ila daah......
 
Maneno mepesi ila mazito mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aah ingekuwa noma na nusu zaidi kama ungelipa mahali na pia umeshaanda gharama za harusi kabisa, huyo bibie hata msimamo kabisa yaan ww ulikuwa caretaker ujue [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu acha tu, alikwishafahamika home na siku wazee wanaenda kwao ndio kila kitu kinakuja kujulikana[emoji28][emoji28] ila kwa bahati nzuri na mwana nae alipiga chini so manzi yupoyupo tu.

Sent using OPPO Mobile Phone
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Nesta alikuwa anaona mbali kumbe Tatizo la hv viumbe havijawahi kuwa satisfied nakujua wanataka nn nikazi mno.
 
Mkuu acha tu, alikwishafahamika home na siku wazee wanaenda kwao ndio kila kitu kinakuja kujulikana[emoji28][emoji28] ila kwa bahati nzuri na mwana nae alipiga chini so manzi yupoyupo tu.

Sent using OPPO Mobile Phone
[emoji23][emoji23][emoji23] kakosa kotekote saizi anaregret tu huko aliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…