Unaweza pewa nafasi ya uhamasijashi. Unatembea na ile invention ya nzi ukionyesha utendaji kazi wake murua bila madhara kama jamaa alivyoeleza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiki chama hapana mzee wangu [emoji119] senior kama ndio huyu loh [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah hapo kule chamani kuna wajomba wanaany years of experience(mi ni nyokaa tu kwao mkuu hahah).
dodge
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah hapo kule chamani kuna wajomba wanaany years of experience(mi ni nyokaa tu kwao mkuu hahah).
dodge
sasa unamfukuza kazi kwa kosa lipi hapo utendaji wakazi mbovu au nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] innovation [emoji119]Mkuu nakushauri ukaisajili COSOTA tusijepoteza innovation zetu kama kwa chipsi yai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu nikipika huku huwa inakuwa ya kwanza kuisha na watu wakataka tena. Chips yai huwa inanitoa sana tukiwa na mashindano ya kupika vyakula vyetu pendwa toka nchini mwetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ule mchanganyo wa mayai na viazi sijui nani alikuwa founder kwakweli maana katuletea janga hakika.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] ww utakuwa katibu muenezi utatusaidia kutanua mipaka zaidi ya company huko ulipo kimasoko zaidi.Unaweza pewa nafasi ya uhamasijashi. Unatembea na ile invention ya nzi ukionyesha utendaji kazi wake murua bila madhara kama jamaa alivyoeleza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mkuu unafikiri innovation ni nini? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ule mchanganyo wa mayai na viazi sijui nani alikuwa founder kwakweli maana katuletea janga hakika.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] umeshakuwa ambassador teyari wa company ya chips yai.Hii kitu nikipika huku huwa inakuwa ya kwanza kuisha na watu wakata tena. Chips yai huwa inanitoa sana tukiwa na mashindano ya kupika vyakula vyetu pendwa toka nchini mwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ufumbuzi [emoji23][emoji23][emoji23]Kwani mkuu unafikiri innovation ni nini? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah safi sana mkuu,endelea kutuwakilisha vyema.Hii kitu nikipika huku huwa inakuwa ya kwanza kuisha na watu wakataka tena. Chips yai huwa inanitoa sana tukiwa na mashindano ya kupika vyakula vyetu pendwa toka nchini mwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau na vitambi [emoji23][emoji23][emoji23] mara kukosa nguvu zakiume inaleta in short ni majanga imeleta epe yai.Hahah kiukweli mvumbuzi alitakiwa apongezwe sana maana ametuletea ajira nyingi sana huku mtaani lkn pia ameleta majanga ya wanafunzi kupewa mimba na bodaboda sababu ya chips mayai
dodge
Hahah don't touch that dial mzee baba.
Mkuu huku kuna maexpert waliobobea kwenye hiyo fani. Tena hufanya bila aibu. Utasikia I'm bored let me go and masturbate.[emoji23][emoji23][emoji23] ww utakuwa katibu muenezi utatusaidia kutanua mipaka zaidi ya company huko ulipo kimasoko zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali angeenda hata toilet akapiga self yale akimaliza anarudi kwa ofisi akiwa mwepesi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah kiukweli mvumbuzi alitakiwa apongezwe sana maana ametuletea ajira nyingi sana huku mtaani lkn pia ameleta majanga ya wanafunzi kupewa mimba na bodaboda sababu ya chips mayai
dodge
[emoji23][emoji23][emoji23] dah kweli naona mpaka na mabango wameweka kweli hii kitu watu wako nayo serious [emoji23][emoji23][emoji23] mabalozi wahuko ni wajuu.Mkuu huku kuna maexpert waliobobea kwenye hiyo fani. Tena hufanya bila aibu. Utasikia I'm bored let me go and masturbate. View attachment 1343919
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kiukweli natimiza wajibu wangu huku nikitembea kifua mberee[emoji23][emoji23][emoji23] umeshakuwa ambassador teyari wa company ya chips yai.
Sent using Jamii Forums mobile app