JamiiForums Usiku wa manane

Dar huwa kuna baridi kwani.. kuna sehemu ukienda msimu wa baridi hata maji huez kuoga [emoji4][emoji4]

Watoto wa dar kimvua kidogo mnachemsha maji na mnavaa makoti makubwa
[emoji23][emoji23][emoji23] ushaaza habari zako, ukishazoea sana joto siku kama yaleo mvua imenyesha tu kuna kaupepo kaubaridi hv kweli unaweza vaa fullneck yako au pullover.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Af huwa najiuliza hivi aliyeshauri kituo cha mwendokasi kiwe pale na barabara iwe chini vile ni mtz kweli au ndo mambo ya wachina
[emoji23][emoji23][emoji23] na mm huwa najiuliza swali kama lako hivyo hivyo na majibu nakosa maana huwa najua sehemu kama hile kabla hapajengwa inaanza
Plan ya jengo itakavyo kuwa
Kisha survey anakuja anaangalia eneo alafu ndio vitu vingine vinafuata sasa ilikuwa vp hakika na mm majibu nakosa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…