[emoji23][emoji23] true mkuu.Hapo utakuta ametoa lile duvet lake huko chini ya uvungu, kesho analirudisha coz halina kazi tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unataka kubishana na mainginia wa jiji sio?[emoji23][emoji23][emoji23] na mm huwa najiuliza swali kama lako hivyo hivyo na majibu nakosa maana huwa najua sehemu kama hile kabla hapajengwa inaanza
Plan ya jengo itakavyo kuwa
Kisha survey anakuja anaangalia eneo alafu ndio vitu vingine vinafuata sasa ilikuwa vp hakika na mm majibu nakosa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipigwe flyover tupale kile kipande kikaejuu tu basi kazi imeisha hapo.That's their usual task kipindi cha mvua but no permanent solution in place.
Sent using Jamii Forums mobile app
True ingawa umenipita kiasi kwenye kupenda hizo vitu.
umekutana na mwenzio wote mnapenda menu.Thanks bruh...
Huwa nakuona pia kwenye thread ya kusnap. Unapenda menyu mkuu [emoji16]
Hapo bado hujapita mfugale, mvua ikinyesha lazma maji yajazane. Kiukweli wabongo kwenye planning hatupo fresh[emoji23][emoji23][emoji23] na mm huwa najiuliza swali kama lako hivyo hivyo na majibu nakosa maana huwa najua sehemu kama hile kabla hapajengwa inaanza
Plan ya jengo itakavyo kuwa
Kisha survey anakuja anaangalia eneo alafu ndio vitu vingine vinafuata sasa ilikuwa vp hakika na mm majibu nakosa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni idea yako, je unanafasi ya kuiwasilisha kwa wahusika?Ipigwe flyover tupale kile kipande kikaejuu tu basi kazi imeisha hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo maengineer wengi feki tu hakuna kitu nandio maana tenda wanapeana kindugu ndio kazi zinakuwa hv mbovu tu mara ya mwisho niko posta nikasema ngoja nipitie na kivukoni nikachukue vitu flani hv njia mbovu tu hadi mjini.
Hata si mpenda kula mkuu. Na nipo selective sana kwenye misosi.True ingawa umenipita kiasi kwenye kupenda hizo vitu.
Hapo unauliza tena sema uafadhali wa pale ni kwamba yale maji hayakai muda mrefu yanapungua ile mifereji inasaidia sana.Hapo bado hujapita mfugale, mvua ikinyesha lazma maji yajazane. Kiukweli wabongo kwenye planning hatupo fresh
[emoji16][emoji16] kiukweli bro sina hobby ya vyakula sana na nikiwa na kitu cha kufanya huwa siwazi unless njaa iniume sana
Ninakula ili nisife tu. Otherwise, msosis sio priority kabisa kwangu.
[emoji23][emoji23][emoji23] nani wakutoa hela hiyo na nani wakunisikiliza mm wakati ile hali imekuwa ni tatizo miaka yote na ile barabarani inaelekea city centre unazani watu hawaoni pale?
Posta ni kisanga bro..ikinyesha mvua huwezi sema ni city center. Drainage system ni hovyo plus parking space ni haba. Better dodoma move na kukua kwa kijitonyama kunapunguza jamBongo maengineer wengi feki tu hakuna kitu nandio maana tenda wanapeana kindugu ndio kazi zinakuwa hv mbovu tu mara ya mwisho niko posta nikasema ngoja nipitie na kivukoni nikachukue vitu flani hv njia mbovu tu hadi mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar nzima ni hovyo labda huko milimani kimara na mbeziBongo maengineer wengi feki tu hakuna kitu nandio maana tenda wanapeana kindugu ndio kazi zinakuwa hv mbovu tu mara ya mwisho niko posta nikasema ngoja nipitie na kivukoni nikachukue vitu flani hv njia mbovu tu hadi mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo sawa katika hili.. sema villain akiskia napenda mnuso anajua ni ile daily kumbe night parties nazizizimikia ile kiujumla
TrueHapo unauliza tena sema uafadhali wa pale ni kwamba yale maji hayakai muda mrefu yanapungua ile mifereji inasaidia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uko njema jikoni ili kama hayupo njema umfumdishe mzee baba.[emoji16][emoji16] kiukweli bro sina hobby ya vyakula sana na nikiwa na kitu cha kufanya huwa siwazi unless njaa iniume sana
. ilifika kipindi nikaanza kupata dalili za ulcers ndo nikashtuka, yaani at least saa hii nazingatia ratiba.
Wife to be namuhurumia maana itabidi awe creative pande hii na asiwe na mkono average jikoni
Change begins with you.[emoji23][emoji23][emoji23] nani wakutoa hela hiyo na nani wakunisikiliza mm wakati ile hali imekuwa ni tatizo miaka yote na ile barabarani inaelekea city centre unazani watu hawaoni pale?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utabadilika tu mwanamke mchezo utapettypettiwa mpaka utakuwa unakula vzr tu subiria ukija kuoa uwone mwenendo kama hauja badilika.[emoji16][emoji16] kiukweli bro sina hobby ya vyakula sana na nikiwa na kitu cha kufanya huwa siwazi unless njaa iniume sana
. ilifika kipindi nikaanza kupata dalili za ulcers ndo nikashtuka, yaani at least saa hii nazingatia ratiba.
Wife to be namuhurumia maana itabidi awe creative pande hii na asiwe na mkono average jikoni