Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Ikitokea umezamisha sasa unafanyaje mkubwa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawazai hovyo hadi mkubaliane jama pia mna uwezo wa kulea na kusomesha. Huku maisha ni ghali sana mkubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna joto ila tu napenda usingizi wa mvua hasa wa usiku.Kwenu kuna joto huko kwani au ww nimmoja wa wale watu wanaopenda usingizi wa mvua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kutoa mimba sio kesi ndio maana husikii cases nyingi adolescent pregnancies kama huko.
Kuwa makini wezi ndio wanaupendaga sana nao ndio wanapotupigia hapo.
Huku ni hatari kama unavyosema mzee wangu.Huku kutoa mimba sio kesi ndio maana husikii cases nyingi adolescent pregnancies kama huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kuna mikwara kama yote, lakini daily madent wanapata mimba. Noma sana
Siunajua Tz ni watu waoga sana tukitishiwa tu tunatulia wenye.Huko kuna mikwara kama yote, lakini daily madent wanapata mimba. Noma sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Epe yai inaleta population ya ovyo sana na kesi nyingi mno za wanafunzi [emoji23]
Kwa hiyo kiepe yai kikipigwa marufuku hali itakuwa shwari?Epe yai inaleta population ya ovyo sana na kesi nyingi mno za wanafunzi [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba ukiwa wa faster na mimba nazo ni faster pia?
Dah acha nilale kwenu saiz saa 20 au saa 19 mpaka uje ulale ww mm nishaamka zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kuniachia msala. Afadhali angekuwa single [emoji23][emoji23][emoji23]