JamiiForums Usiku wa manane

zima simu, zima taa, jifunike shuka kuanzia miguuni hadi kichwani na fumba macho kisha waza yale mazuri uliyofanya leo.

shukrani utanipa kesho ukiamka
Hii njia sijawahi jaribu kabisa ajaribu lakini anaweza akafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…