Kuna mgeni kwenye huu uzi kumbe?Ni saa ngapi huko kwa watu wasiojulikana?
Popo washasinzia mida ya bundiz hiiPopozi
HahahahahahahPopo washasinzia mida ya bundiz hii
Nani huyo mgeni,ameshajitambulisha?Kuna mgeni kwenye huu uzi kumbe?
Utakuwa wewe mwenyewe, mbonajishtukia!Nani huyo mgeni,ameshajitambulisha?
Hahahaaa.....hapana,mie ni bundi mwenyeji hapa!Utakuwa wewe mwenyewe, mbonajishtukia!
Hapana jitambulishe pia kwa wenyeji bhana. Labda wewe ni bundi uliruka kwenda nchi za wageni ndo umerudHahahaaa.....hapana,mie ni bundi mwenyeji hapa!
Jamani jje,leo hii umenisahau kweli?Hapana jitambulishe pia kwa wenyeji bhana. Labda wewe ni bundi uliruka kwenda nchi za wageni ndo umerud
Haya utambulisho tafwadhali[emoji85] [emoji85] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Okey, ulale salama mpenziMimi leo ni popo acha nilale niwaache bundi's
Zamu kwa zamu
Mda wa popo umepita naona
[emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137]Popozi
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Jamani jje,leo hii umenisahau kweli?
Haya naitwa bundi Thad.
Kumbe kuna wanachama huku
Habarini jamani
Salama vipi huko, huku jua linawaka sio mchezoKumbe kuna wanachama huku
Habarini jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani jje,leo hii umenisahau kweli?
Haya naitwa bundi Thad.