carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Nakuona bundi mwenye kengezaBundi nipo hapa
Macho angavu kabisa hayo yanakuchungulia hapo.Nakuona bundi mwenye kengeza
Tabia ya kuchungulia umeanza lini?Macho angavu kabisa hayo yanakuchungulia hapo.
Kipenzi leo niwakilishe vyema tu muite na jirani yangu.Tabia ya kuchungulia umeanza lini?
Nani kakufundisha??
Neybright waitwa na jirani yako hukuKipenzi leo niwakilishe vyema tu muite na jirani yangu.
Ndo unaniacha?unaniachaje halafu??Kipenzi leo niwakilishe vyema tu muite na jirani yangu.
Ha ha ha haInaelekea wewe ni popo usijejikubali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nahisi mana nyendo zake sizielewi siku hiziAnaondoka kisa nini??? Au anakimbilia mchepuko
Mie nimeongea mpaka sauti imekauka dear, jirani habadiliki embu jaribu kunisaidia na wewe mechoka mieNahisi mana nyendo zake sizielewi siku hizi
Tupo hapaSijawahi ingia uzi huu....ila mbona mapopo wachache au wengine bado hawajaamka?
sawa mkuuTupo hapa
Popo washalala huu ni muda wa bundiSijawahi ingia uzi huu....ila mbona mapopo wachache au wengine bado hawajaamka?
Nimesikia yuko maeneo ya Lusaka na wenzake wanaelekea South Africa na magoti kuomba msamaha [emoji40] [emoji125]Anaondoka kisa nini??? Au anakimbilia mchepuko
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Popo washalala huu ni muda wa bundi
Hahahaaaaa.....angalia usijejing'ata huo ulimi wako tu πππ[emoji23] [emoji23] [emoji23]
"Bundi Thad"
Ulimi wangu umefurahia sana kutamka hilo jina[emoji12]