Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,629
- 13,551
Hilo jina langu maarufu la shule.😂Mbona mapema sana. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hilo jina lako limenichekesha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa nini uliitwa hivyo mkuu.Hilo jina langu maarufu la shule.[emoji23]
Aisee mimi leo kifurushi changu cha usingizi kimeunga mapema.
Nafurahi kusikia hivyo. Hapa kwema kama unavyoona. Wadau wengi washatepeta mida hii.
Nafurahi kusikia hivyo. Hapa kwema kama unavyoona. Wadau wengi washatepeta mida hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huku kuna wagumu? 😀
Duh [emoji4]
Dah nimejaribu vaa mask jioni hapa napata joto la hatari usoni
Huyo uwanachama hawezi kufutwa
Aah wapi napita free kabisa tena nakuwa verified member [emoji4]Lazima nikuletee utemi, huongii kama mchafu humu labda usubirie fungulia mbwa [emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app