wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
Kesheni makamanda,kuna usemi nilisikia kwa wazee wakisema,kuanzia mida ya saa 6 usiku mpaka saa 11 huwa ni mida za watu wenye maradhi mbalimbali kwenda mbinguni. Kutokana na hali hiyo nakesha mpaka asubuhi
Hii karibia na msavu achana na ya fire.
Embu jaribu kama ujatepeta mwenye.Hajui nnaeza kesha nae [emoji23][emoji23]
Ubaya kwenye mipaka natokaga kapa.. hata mpaka wa nyumba ni shida.. namyuti kwanza [emoji40][emoji40]Embu kausha kwanza bibie hii ni mitaa yangu kabisa [emoji23]
Anakuuza tu huyo sio mtu wa hivyo kabisa [emoji23]
ha ha ha ha najiuliza mkuu,inaweza kuwa na ukweli?Basi wazee wote wenye Corona kule Italy/Spain watakua hawalali mida hii.
Acha kumchimba mikwara, Moro yenyewe huijuiEmbu kausha kwanza bibie hii ni mitaa yangu kabisa [emoji23]
Kwenu sipale gunbushNaujuaje na kanda yetu ya ziwa ukitoa kuua albino hatuna maajabu
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani wee kajamaa kachoyochoyo. Acha wakapeane vitabu..kesho ww kachukue guava [emoji23]Anakuuza tu huyo sio mtu wa hivyo kabisa [emoji23]
Pale hesabu kama masaa 7 ndo unafika kwetu [emoji4][emoji4]Kwenu sipale gunbush
hawezi kuijua Moro kunizidi mm huyu kihonda inaanzia msavu mpaka mizani kule.Ubaya kwenye mipaka natokaga kapa.. hata mpaka wa nyumba ni shida.. namyuti kwanza [emoji40][emoji40]
Uwe unaspecify hata jina hujui. Una maanisha pale karibu na hotel yako pendwa flomi au MMU?Hii karibia na msavu achana na ya fire.
Embu jaribu taja eneo ambalo mm silijui mm najua Moro mkoa mzima na sio wilaya ya moro mjini tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pumbafu kabisa ww.[emoji23][emoji23][emoji23] yaani wee kajamaa kachoyochoyo. Acha wakapeane vitabu..kesho ww kachukue guava [emoji23]
Sasa unamsemea au?Anakuuza tu huyo sio mtu wa hivyo kabisa [emoji23]
Aah mbali hivyo!Pale hesabu kama masaa 7 ndo unafika kwetu [emoji4][emoji4]
Umemshtkia eee. Huyu jamaa atakuwa mfupi sana yaani[emoji23][emoji23][emoji23] yaani wee kajamaa kachoyochoyo. Acha wakapeane vitabu..kesho ww kachukue guava [emoji23]
Hapo mumuUwe unaspecify hata jina hujui. Una maanisha pale karibu na hotel yako pendwa flomi au MMU?
Sent using Jamii Forums mobile app