JamiiForums Usiku wa manane

Noise pollution unaijua?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilikuwa nakutania mkuu... hayo makanisa ni kwikwi na ubaya huwa wanayajenga kwenye makazi ya watu.. wanaeka mic na vyombo vya sauti sana..inaboa
 
Kwa mfano kutokana na haya maradhi, ikitokea mmebaki wawili tu katika hii dunia,mmoja (me) na mwingine (ke),utatumia njia zipi za kuijaza hii dunia, na itachukua miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…