Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
Ndo nasubiri mwisho wa story nione kama ndo yenyewe[emoji40]Story? Sungura na fisi au
Mbona sasa kimya ghafla au mmeihamishia kwa waziri husika[emoji39]Ahahahaaaaa
Tena usipige hata chafya
Naona waumini wanapotea mdogomdogo mkuu wengine wameshazima na dataNdo nasubiri mwisho wa story nione kama ndo yenyewe[emoji40]
Wengine tuko kazini mkuu, tukiruhusu kope kujifunga hata dakika tano, ajira ndo itakua ishaota nyasi[emoji125] [emoji125]Mlale wakuu
Ok....
Mlaleee mida yetu hii.
AhahahaaaaaaNdo nasubiri mwisho wa story nione kama ndo yenyewe[emoji40]
Wapi ndugu yangu naona mtoa hadithi kapumzika kidogo ngoja tumsubirieMbona sasa kimya ghafla au mmeihamishia kwa waziri husika[emoji39]
Aisee, ila nahisi wapiga story kuna kasehemu ka siri wamehamia kulainisha usingizi[emoji40] [emoji125]Naona waumini wanapotea mdogomdogo mkuu wengine wameshazima na data
[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]....
Mlaleee mida yetu hii.
Hahaha sio mchezo, yawezekana ile miitikio ya kumfanya mpiga story ajue unamsikiliza ndo imemlewesha[emoji39] [emoji12]Wapi ndugu yangu naona mtoa hadithi kapumzika kidogo ngoja tumsubirie
Salama mkuu, karibu chai, kama jasho la mtu linaliwa[emoji40] [emoji125]Habari za Asubuhi jamani!
AhahahaaaaaaAisee, ila nahisi wapiga story kuna kasehemu ka siri wamehamia kulainisha usingizi[emoji40] [emoji125]
Ahahahaaaaaa uwiii mbavu zangu mie, na hapo sikuweka chombeza mazungumzo [emoji6],ningeweka je???Hahaha sio mchezo, yawezekana ile miitikio ya kumfanya mpiga story ajue unamsikiliza ndo imemlewesha[emoji39] [emoji12]
Hahaha bora hata hukuweka chombezo, huenda ungemzimisha mtu,[emoji40]Ahahahaaaaaa uwiii mbavu zangu mie, na hapo sikuweka chombeza mazungumzo [emoji6],ningeweka je???
Daah sasa bibie unatuacha achaje, msalimie jirani yako, mwambie kuna tuhuma zake anatakiwa aje kujibu huku[emoji42]Gud night guys
Nakukumbusha tu..ufue mashuka asubuhi