Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Nilikumiss pia ila wasiwasi. [emoji6]Nilikumiss tu kipenzi[emoji1][emoji1][emoji1]
Ahahahaaaaaa uwiii mwambie missing him too jamani, asanteh kwa ujumbe, nilidhani katekwa nikawa nimepoteza matumainiNey bright Nimeongea na Iceman 3D kasema amekumiss sana pia nikuchunge wasikuteke
Wasiwasi wa nini tena?huniamini ama??[emoji6][emoji6]Nilikumiss pia ila wasiwasi. [emoji6]
Daaah nilikuwa nachoka sana, nikijitupa kitandani hata kama sijavua viatu nasinzia
Jirani nimemchungulia kwake naona anaogaNeybright umelala au bado wazurura
Okey nipo hapa font fed nawaona tuuMuite jirani tuanze kusikiza kesi[emoji87] [emoji87]
Imejipost[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Usikimbie tafadhali wewe ndio mtuhumiwa no 1Kumbe kulikuwa kuna kitu ndio maana umewahi[emoji125] [emoji125]
Kitambo sana D A kwema?Okay okay
UNITED REPUBLIC OF POPOZ
Kwahiyo umempiga chabo bafuni,tena usiku[emoji23][emoji23][emoji23]Jirani nimemchungulia kwake naona anaoga
Kwema Ney, mzima weye my dear?Kitambo sana D A kwema?
Ita walalamikaji wote,wakili wake nipo[emoji3][emoji3]Okey nipo hapa font fed nawaona tuu
Walalamikaji siwaoni ila mtuhumiwa yupo
Kila siku nakuamini na nitaendelea kukuamini.Wasiwasi wa nini tena?huniamini ama??[emoji6][emoji6]
HA! HA! HA!Daaah nilikuwa nachoka sana, nikijitupa kitandani hata kama sijavua viatu nasinzia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jirani nimemchungulia kwake naona anaoga
No 2 wapiUsikimbie tafadhali wewe ndio mtuhumiwa no 1
Ohoooh nilikua natafuta ushahidi Mara paap huu apa[emoji12] Jirani jirani kumbe mwazima taa[emoji40] [emoji125] [emoji125]Jirani nimemchungulia kwake naona anaoga