carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Inasemekana nyie ni majirani wapenzi[emoji23][emoji23]Alikuwa nayo zamani tukamuweka kikaangoni akaacha sasa naona karudia upya, that's my jirani I can't believe this anymore
Kwahiyo unakubali nyie ni majorani wapenzi??Nahisi hamna kosa kesi imefutwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona nami naota huku itakuwa tunashare ndoto. [emoji23]Hahahaha sababu ni upweke, naota tuu boss
Yani hadi hapa kesi imeisha,hawana cha kubisha hawaLeo hatuairishi kesi watuhumiwa wote wapo na mashahidi wapo, tena ushahidi usio na shaka.[emoji12]
OhoooNimeanza kuelewa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]ushahidi unaonyesha nyie ni......[emoji125] [emoji125] [emoji125]Ifutwe tu hamna mlalamikaji
Hahaha mkuu tokea nikatae kumnunulia bia, na wewe ukampa offer ya wine mpaka leo sijamwona[emoji24] [emoji24] tafadhali mrudishe [emoji40] [emoji125]Thad wapi mkuu
Majirani wazima taa[emoji23][emoji23][emoji23]Hebu yafunike hayo macho yabgu kwenye avatar[emoji23]
Ha ha ha tuendelee na ndoto...sasa unasubiri nini hadi Leo haujaoa/ kuolewa?Mbona nami naota huku itakuwa tunashare ndoto. [emoji23]
Kapotea kabisa huwa anakuja late mno kugonga likes tuu [emoji23][emoji23][emoji23] Yaan anavituko huyo basi tuu.Mara paaaap nikatokea.
Asante dear kwa kujali.
Jamani kumbe ML naye kapotea..
Nashukuru jirani ujirani huu hauna kikomo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona huwa unatafuta mabaya ya jirani yangu tuu, mazuri yake huyaoni kabisa, wewe hufai aiseeh
Leo akija kugonga like atanikut hapa.Kapotea kabisa huwa anakuja late mno kugonga likes tuu [emoji23][emoji23][emoji23] Yaan anavituko huyo basi tuu.
Neybright ni jirani yangu muhimuKwahiyo unakubali nyie ni majorani wapenzi??
Hahaha nimetafuta hata nusu ya jambo zuri sijaona. Hebu mwulize amempeleka wap Bundi Thad mpaka leo haonekani[emoji40][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona huwa unatafuta mabaya ya jirani yangu tuu, mazuri yake huyaoni kabisa, wewe hufai aiseeh
[emoji23][emoji23][emoji23]majiraniNashukuru jirani ujirani huu hauna kikomo.
Popo lazima uwe na macho kama hayo bila hivyo utakiwi humuKK sura yako inanitisha naomba uitoe pulizii
Nani kaleta ushahidi[emoji23][emoji23]ushahidi unaonyesha nyie ni......[emoji125] [emoji125] [emoji125]