carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Basi kesi imeisha[emoji23][emoji23]Neybright ni jirani yangu muhimu
Thad popote ulipo nimekumiss huku.Hahaha mkuu tokea nikatae kumnunulia bia, na wewe ukampa offer ya wine mpaka leo sijamwona[emoji24] [emoji24] tafadhali mrudishe [emoji40] [emoji125]
Wakili upo upande upi wa jirani yangu?Majirani wazima taa[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:kijana yule wa siti ya kwanza[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hii kesi imeisha tayari maana ushahidi upo wazi kabisa kuwa nyie ni majirani wapenziWakili upo upande upi wa jirani yangu?
Kwani ukioa lazima kuwahi kulala??Ha ha ha tuendelee na ndoto...sasa unasubiri nini hadi Leo haujaoa/ kuolewa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]majirani
Kipenzi mbona unakimbiaBasi kesi imeisha[emoji23][emoji23]
Haya mlale salama majirani wapenzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha nimetafuta hata nusu ya jambo zuri sijaona. Hebu mwulize amempeleka wap Bundi Thad mpaka leo haonekani[emoji40]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]majirani
Huyo unaeongea nae ndiye
Hii kesi haijaisha, itahairishwa kwa muda kupisha uchunguzi yakinifu.Basi kesi imeisha[emoji23][emoji23]
Haya mlale salama majirani wapenzi
Kesi imefutwa haina walalamikajiHii kesi imeisha tayari maana ushahidi upo wazi kabisa kuwa nyie ni majirani wapenzi
Kesho nataka malipo yangu
Usiku mwema
Hizo tuhuma si za kweli ila Thad ndio anajua vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jirani yangu embu jibu hilo swali
MondNdiyo Iceman?
Hahahaha mkuu si yupo karibu hapo we mwambie ajitokeze tu, au mpaka leo hangover bado haijaisha[emoji12] [emoji40]
Oooh okay nimeonaa.Mond
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kesi imeisha tayari maana ushahidi upo wazi kabisa kuwa nyie ni majirani wapenzi
Kesho nataka malipo yangu
Usiku mwema
Ndio maana kakimbia tena huyo mondrayOooh okay nimeonaa.