JamiiForums Usiku wa manane

Hahaha...........umesema nije tulale? Naona una mpango wa kuniziba mdomo nishindwe kuishupalia kesi iliyopo mezani
Hahahaha sie ni kulala tu tena fofofo[emoji42] [emoji39]
Kwakweli sina historia ya kuziba midomo ya watu, huo utakua ni utekaji sasa[emoji12] [emoji85] [emoji125]
 
Hahaha Bundi Thad naona unaanza kusinzia ina maana zile sumu zinazoonjwa kwenye bongo muvi sio!
Hahaha....ina maana hujui kuwa bongo muvi wanafanya vile ili kuonesha kuwa wahenga si lolote si chochote,bali wao ambao ni wahenga wa kesho ndo wasema kweli na msemo wao wa 'jaza ujazwe'
 
Sasa ili wasitushtukie ngoja mimi nitangulie kuondoka hapo,halafu wewe utondoka baada ya lisaa limoja mbele............si eti eeeh!
Hahaha hapana kwakweli, janja yako nshaishtukia naona dalili za kufungiwa nje[emoji40]
Hapa tuondoke pamoja tu kama mbwai mbwai[emoji39] [emoji85] [emoji125]
 
Hahaha hapana kwakweli, janja yako nshaishtukia naona dalili za kufungiwa nje[emoji40]
Hapa tuondoke pamoja tu kama mbwai mbwai[emoji39] [emoji85] [emoji125]
Napata wasiwasi kuwa hukubahatika kucheza kombolela......maana hii ni mbinu ya kuwafanya wenzenu wasishtuke kuwa mlijificha wote kwa masaa kadhaa
 
Hahaha....ina maana hujui kuwa bongo muvi wanafanya vile ili kuonesha kuwa wahenga si lolote si chochote,bali wao ambao ni wahenga wa kesho ndo wasema kweli na msemo wao wa 'jaza ujazwe'
Hahaha hapo kwa wahenga nawaunga kwato ila hapo kwenye Jaza sijui ufanyiwe nini.... Hapana.
Hivi bibie walishawahi kukujaza kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…