Nimeamka nawenge! Nilitaka nitoke niende mahali fln hivi, nikaona kwanza niingie huku, ni mtaa gani mnaongelea?Ila ile mitaa yote sio mkuu.. hata wakifukuza chimbo ni nyingi
ilikuwa poa sana kwangu maana mm nachojua kuwa sikukuu ni swalazima la msosi lazima uwe wakueleweka π tofauti kidogo na siku zote.Amen ni kweli kabisa and i hope umeenjoy pia eeh?
Nimeamka nawenge! Nilitaka nitoke niende mahali fln hivi, nikaona kwanza niingie huku, ni mtaa gani mnaongelea?
Sent using Jamii Forums mobile app
manyoya ninayo lakini mwili ndio sina mzee wangu nimifupa tu ipo hapa nyama hakuna π πWw tu kama upo comfortable kuonesha tumbo na vinyweleo vyako
wow, kwahiyo ulipata vitu tofauti kidogo ,uko vizuriiilikuwa poa sana kwangu maana mm nachojua kuwa sikukuu ni swalazima la msosi lazima uwe wakueleweka π tofauti kidogo na siku zote.
yeah sanitizer muhimu, karibu sanaaYaani kesho fasta nakuibukia na sanitizer mkononi
ndio kitu muhimu hiko tu kilichobaki kupunguza pressure.Tuombe kasi yake iwe ya kawaida...la sivyo tutapukutika mno
yeah sanitizer muhimu, karibu sanaa
Finenancial, tupige wangu maana hizi mvua zimeniharibia ratiba"niko poa pia,thank you nimeenjoy kwakweli
umekata wese πππ
Kahumba moroNimeamka nawenge! Nilitaka nitoke niende mahali fln hivi, nikaona kwanza niingie huku, ni mtaa gani mnaongelea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliambiwa ww kibonge [emoji23][emoji23]manyoya ninayo lakini mwili ndio sina mzee wangu nimifupa tu ipo hapa nyama hakuna [emoji38] [emoji38]
ndyo unaamka mkuu, kama una wenge hivii,hahaa
kabisa hata utumbo leo haukuamini kilichoingia.wow, kwahiyo ulipata vitu tofauti kidogo ,uko vizurii
Tuliza wenge kwanza mkuu...haha
Ukipata na kambege mambo mubashara.ilikuwa poa sana kwangu maana mm nachojua kuwa sikukuu ni swalazima la msosi lazima uwe wakueleweka [emoji38] tofauti kidogo na siku zote.
Goddess sianapenda kunitukana βΊ ndio raha yake kwangu.Niliambiwa ww kibonge [emoji23][emoji23]
πππ pombe sinywi mm