Hahaaa.....Bahati mbaya sana,situmii huo mtandao wenu unaojaza.........Hahaha hapo kwa wahenga nawaunga kwato ila hapo kwenye Jaza sijui ufanyiwe nini.... Hapana.
Hivi bibie walishawahi kukujaza kweli?
Hahaha kombolela nimecheza sana ila kwenye hii kombolela ya Leo hapana[emoji12]Napata wasiwasi kuwa hukubahatika kucheza kombolela......maana hii ni mbinu ya kuwafanya wenzenu wasishtuke kuwa mlijificha wote kwa masaa kadhaa
Afadhali bibi umekuja,tafadhali baki na huyo Nleterewa Nganengo,mie naondoka zanguNawafuatilia nyendo zenu wewe na Thad
Ohoooh, maelezo ndo kitu gani tena jirani yake nanihii...Nyie nendeni tuu siye tumelala wala hatuwaoni, ila kesho mje na maelezo kamili
Usinifanyie hivyo tafadhali..........mi siwezagi kujielezaNyie nendeni tuu siye tumelala wala hatuwaoni, ila kesho mje na maelezo kamili
Naona nimewavurugia safari yenu, si mlikuwa na mpango wa kuondoka pamoja?? Kulikoni???Afadhali bibi umekuja,tafadhali baki na huyo Nleterewa Nganengo,mie naondoka zangu
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nawafuatilia nyendo zenu wewe na Thad
YapPOPOOOOZZZ
Mnajifanya mmesahau? Kwani mlikuwa mnapanga kitu gani?Ohoooh, maelezo ndo kitu gani tena jirani yake nanihii...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Hahaaa.....Bahati mbaya sana,situmii huo mtandao wenu unaojaza.........
Mwanzo mgumu ila utajitahidi tuuUsinifanyie hivyo tafadhali..........mi siwezagi kujieleza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kumbe ndo wewe nakuona unanifatilia na ungo mweupe aina ya Nissan[emoji40]
Hatuna nyendo nyingine zaidi ya kupongezana kwa kuweza kuacha pombe[emoji85] [emoji125]
Aisee bibie bakibaki kidogo mimi nitangulie kwanza, au hujui kuna nyendo zinafatiliwa?[emoji40]Afadhali bibi umekuja,tafadhali baki na huyo Nleterewa Nganengo,mie naondoka zangu
Karibu sanaPOPOOOOZZZ
Wameshalala mkuu tumebaki Bundi tu, karibu Bundi mwenzangu.POPOOOOZZZ
Hahaha wala hatujapanga kitu zaidi ya kupongezana kwa kufanikiwa kuacha[emoji481] [emoji482]Mnajifanya mmesahau? Kwani mlikuwa mnapanga kitu gani?
We jichekeshe tu, ila kesi yako na Kichwa Kichafu bado mbichi kabisa[emoji42] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]