JamiiForums Usiku wa manane

Aaamefufuka mkombozi wetu na tuimbe hallelujah amedhihirisha kuwa yeye ni mwana wa Mbinguni (aamefufuka kweli tuimbe halleluya)
Airurururuuuuu
 
Mimi nimetoka town sasahivi na nimepitia njia ya makaburini ambako pia Kuna miti mikubwa ya miembe bila kuogopa acheni umamamama wa kulala mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…