Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hahaha bundi Thad bhana, hao wahenga wanakupeleka pabaya ndo maana mimi siwapendi[emoji40] [emoji125]Hahahaa naona unaanza kujitekenya na kucheka mwenyewe 😀😀😀
Za asubuhiHuku ni sa2 asbh!
Ya kale ni dhahabu ati............Hahaha bundi Thad bhana, hao wahenga wanakupeleka pabaya ndo maana mimi siwapendi[emoji40] [emoji125]
Mtafute umchapeNani kafungua geti mapema hii?
Nzuri!Habari za usiku?
Mahari yake milioni kumi tuu kama unayo jitose mkuu uweke chombo ndani usipambane na picha zake [emoji42]
Kwanini hafai?Uyo hafai kuweka ndani.
2:7Mtafute umchape
Naona leo tumeonana
Upo au ushasinziaKwanini hafai?
Ndio mida yangu ya kutoka hii, mambo vipi aiseehUpo au ushasinzia