Nipo hapa eti@Goddess tafadhali mama
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Amka kapige tiziCan't even sleep. Pondering upon life
Hahahaha hapana mimi Niko BBa Paroko wa huu Uzi, nimekesha nawafanyia maombiHahaha, swaga zako za kuomba kwenda PM nimezielewa.
Amen, mimi ndio namalizia maombi hapa Radio Safina
πππ
Yan sikuhizi nalala hata notification sizisikii.